Recent content by mbalizi1

  1. mbalizi1

    KERO Mamlaka za Elimu zisome kile tunachopitia Wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari Songea Girls

    Binti yangu alijaribu kulalamika kuhusu wanavyofanya kazi shuleni anakosoma.....Nikamuambia aache utoto, uvivu, ujinga na upumbavu. Hiki ndio kizazi ambacho mtoto hawezi hata kufua chupi yake anayoivaa kisa uvivu. Maisha sio mepesi kama mnavyofikiri, vinginevyo uwe na uhakika kwakuwa umo ndani...
  2. mbalizi1

    Huyu ni nani: Wanachi wenye silaha waliua wenzao 29.10.2025!

    Wananchi (raia) wanamiliki mitutu ya bunduki????? au sijawlewa sawasawa?
  3. mbalizi1

    PostGE2025 CHADEMA wanakwamisha maridhiano

    Kwani mnawalazimisha?
  4. mbalizi1

    Danguro la dada Poa Bukoba lipo kwenye shirika la nyumba la taifa (NHC) hii ni aibu kwa taifa.

    Hivi serikali ni nini hasa?. Wewe mwenyewe unao wajibu wa kushughulika na hilo
  5. mbalizi1

    Siku hizi kuna shida gani mbona tunaona maziwa badala ya ule kama yai

    ni sawa na kulishwa viazi juani pasipo juice wala maji ya kushushia
  6. mbalizi1

    Kheri ya siku ya wanaume duniani especially wa Tanzania

    TUliolinda migongo yetu tu
  7. mbalizi1

    Kheri ya siku ya wanaume duniani especially wa Tanzania

    Amen, barikiwa sana pia 🙏
Back
Top Bottom