Recent content by Mbalizi feedstuff

  1. Mbalizi feedstuff

    Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

    Sasa hapo kosa la afisa usafirishaji ni nini?
  2. Mbalizi feedstuff

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Naomba kuuliza mfano umeninua suruali 2 shati mbili viatu pea mbili,mzigo ukawa pamoja hawa watu wa kodi TRA kodi itakadiriwa kwa jumla au tuseme kwq gharama ya mzigo jumla au wanachambua kimojakimoja
  3. Mbalizi feedstuff

    Jamani ushauri wenu unahitajika, Graduation inataka kunitoa roho

    Mkuu siku ya graduu ujifanye umezirai siju nzima
  4. Mbalizi feedstuff

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mkuu huvi kitu kama hiki naweza kuzuiwa kukiagiza
  5. Mbalizi feedstuff

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Uzi wa kitambo sana sijui mleta mada bado yupo hai nimuulize maswali zaidi.Nataka kujua kama kuna kampuni inaweza kusaidia hizi mambo maana
  6. Mbalizi feedstuff

    Amejificha au wamemficha?

    Mkuu mbona unanitisha what is this?,ndio narogwa hivyo?
  7. Mbalizi feedstuff

    Wakuu muongozo wa kununua bidhaa AliExpress na Amazon

    Ninaomba mchakato wa kununua bidhaa hasa Amazon. Nahitaji mwongozo kutoka kwa ambaye amewahi kununua bidhaa kupitia jukwaa tajwa. Ninachotaka kufahamu ni details gani zinajazwa, hela ya supplier inakatwaje, mzigo naupokeaje na kodi nakatwaje, je, mambo gani ya muhimu ya kuzingatia kuhusu...
  8. Mbalizi feedstuff

    Amejificha au wamemficha?

    Mkuu umeanza kupiga mafumbo siku hizi
  9. Mbalizi feedstuff

    wachawi tukutane hapa

    Ingekuwa vena uanze na tukio lako,halafu ndg mshana Jr ndio atatufungia dimba kwa shuhuda zake za kuroga
  10. Mbalizi feedstuff

    Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    Ila hii nchi,hivi hawawezi kutafuta magari ya kubebea maiti ni hayo tu macruiser na madefender?
  11. Mbalizi feedstuff

    Wakuu kwa bajeti ya Tsh 1,500,000 naweza pata Brand New Laptop

    Sawa mkuu nipe location hata spec zikiwa minimal sio case cha msingi nipate tu laptop.mpya na si refurbished au used
Back
Top Bottom