Sisi tunachotaka ni furaha simanzi imetosha amewe timu vijana ndo wakati wao wazee tumewachoka wakistaafu ndo wanakuja kumalizia Simba akili zimeshachoka watulie
Yameshamkuta mapambio yote aliimbiwa lkn Leo kwao siyo kipaimbele inasikitisha, atendewe haki aliisaidia sana utopolo kupata makombe, nakala kwa: rais wa uto pamoja na msemaji wa uto
Kwanza Jana ngungu alitamani tupoteze ila Mungu mkubwa aisee baada ya kutanguliwa alipokaa pale mbele nilimchukua hatari!!! Mnafiki sana yule ila jasusi katunyosha miaka mingi, ila anavyojichekesha mbele ya mo utasema mtu
Anaipambania timu huna Hela za kulipa mishahara ya wachezaji na menejiment si ujinga huo? Hizo ni kelele kama kelele nyinginezo zitapita na uchaguzi tutafanya ukalee vijukuu huko
Sema yanga alishakutana na club African kwenye shirikisho na akamtoa hapo timu 2 labda ndo ngumu kwa yanga zamalek na Alger na kundi la yanga ni rahisi kuliko la Simba na tubidi tuwe kitu kimoja mgawanyiko wa uchaguzi usiwepo maana siyo poa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.