Wazee mambo vip wataalamu wa mapenzi ? Ebwana nilianzisha mahusiona ya kimapenzi na demu mmoja alikua anakaa na dada yake .
Mara nyingi nlikua sipendi mahusiono yetu yawe public lakini kumbe alimwambia dadake kila kitu kuhusu mahusiano yetu nikashangaa dada ake ananiita shemeji 😀😀.
Sasa nikawa...
Usijali mwanangu hiyo ni hali ya kawaida wwe wapelekee moto . Kikubwa linda afya tu ili siku moto ukizima wasikuache ukiwa na magonjwa. Ukifilisika ukiwa na afya akili ya kutafuta pesa nyingine utakuwa nayo. Lakini baada ya hapo utakuja kuwa tajiri maana utakuwa ya duniani umesha ya maliza...
Sema mwanangu kwa pisi unayo ikubali halafu ikakupa tunda ukaonja ikawa inaeleeka haizingui , mwanangu wee acha tu yan utajikuta unazama mazima. Unaweza jikuta unasahau wanawake wengine wote dunia nzima unamuona yeye tu. Sema kwenye kipengele cha hela hapo ndo shida mwanangu pesa zinatembea mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.