Recent content by Mayonaise

  1. M

    Aunty Lulu ajizawadia gari ya millioni 200

    Habari za Aunty Lulu kujizawadia gari linalotajwa kuwa na thamani ya takribani milioni 200 zimeibua gumzo. Kwa baadhi ya watu, hii ni hatua ya mafanikio binafsi inayopaswa kupongezwa. Lakini kwa wale wanaomfahamu kutokana na historia yake ya kisiasa, hasa kipindi alichokuwa akihusishwa na...
Back
Top Bottom