Recent content by Mayeka9

  1. M

    Kutoa pesa ATM na kwa wakala - Ipi ni nafuu zaidi au ziko sawa?!

    ATM ina unafuu sana!!!na charges zake ni ndogo kuliko kwa wakala na hawa mawakala wako kwa ajili ya kusaidia Huduma kwa haraka has a sehemu ambazo benki hamna au ziko mbali nawafananisha na Mobile banking kwa hiyo lazima kuna charges kubwapo
Back
Top Bottom