"Haingii akilini mtu azaliwe Iran, akulie Irani, asomee shule za msingi Iran, secondari na vyuo vikuu Uingereza, halafu aje kuwa mwanasiasa Igunga anaezungumza Kiswahili fasaha kuliko Reginald Mengi wa IPP!!"
Nimekubaliana na wewe katika hilo!!! Mbona connection inapotea? Kwa kweli simpendi...