Recent content by Maundu

  1. Maundu

    Viongozi wa Marekani wanaishi kwenye kambi za Jeshi kwa kuhofia kuuawa na Iran

    Tatizo Media za Western zinajitajidi saana kuiodogosha Iran na kuzikuza Nchi km Marekani, Israel na wengine..ila Ukweli mchungu Trump na washirika wake wanajuta kuanziasha vita na Iran,na mbaya zaidi wameifanya Iran izidi kujiamini Kwa uwezo wake kijeshi, sasa wanajambajamba tu hawana amani hata...
  2. Maundu

    Ufaransa yaishutumu Iran kuhusika na shambulizi la mtandao lililoathiri majokofu ya vyakula

    Kwenye hii vita ya Marekani na Israel walioshindwa dhidi ya Iran,hata nao si walishiriki pia,ila Kwa mlango wa nyuma huku wanasikilizia hali inaendaje,wangeona Iran anazidiwa wangejitokeza waziwazi na kuongeza nguvu zaidi,ila walipoona baba yao anatolewa jasho wakakimbia chap,halafu leo...
  3. Maundu

    Putin aamua kuteta na Wayahudi kwa siri!!

    Daah!nasikitika saana nikiona kijana ana mawazo km haya.
  4. Maundu

    Nilikopa Sh 5M kutoka Bayport, nimekatwa kwa miezi 6, nimeomba balansi wanasema imebaki Sh 9M, kivipi?

    Upo sahihi riba ni dhambi, lakini Kuna wakati unapata changamoto ya kipesa,unakuwa hauna chaguo zaidi ya Mkopo wenye riba..ili kutatua hiyo changamoto,kwahiyo ni vizuri kumshauri kitu ambacho kitamsaidia.
  5. Maundu

    Marekani yazidi kujiimarisha huko Mashariki ya kati

    Sio mara ya kwanza kujiimarisha,mwisho wa siku waajemi wanamngojea.
  6. Maundu

    Huko Tehran jioni hii wamepigwa na kitu kizito kituo cha mafuta chateketea!!

    Hivi unaamini Israel hesabu zao zilienda sawa?na km kweli Israel waliwamudu wa Iran,lengo lao lilitimia?nachokiamini Israel na Marekani wanatamani hata leo waipindue serikali ya Tehran,na kwenye Ile vita Israel alipanga kufanya mapinduzi ya serikali ila ameshindwa na mbaya hakutegemea kupata...
  7. Maundu

    Polepole ashtakiwe kwa kutoa siri za serikali kinyume na sheria ya usalama wa taifa

    Wewe ndo utakuwa unatoa siri sisi tusiyoijua km polepole katoa Siri..
  8. Maundu

    Polisi sita mbaroni kwa kumuua mtuhumiwa

    Pole yao wafiwa .ila wazazi muwe mnaangalia majina ya kuwapa watoto zenu,sasa mtu umempa Jina anaitwa Tatizo, halafu unategemea aweje kwenye maisha yake.
  9. Maundu

    Ibrahim Traore ni Gaddafi mpya wa Afrika?

    Dah!uwa naheshimu saana mchango wako..ila kwenye Gaddafi hapo Kaka umechemka..na hata huyu wa Burkina Faso,sioni sababu ya kumkosoa Kwa namna hiyo,muda utaongea.
  10. Maundu

    Swali fikirishi, ni kwanini Mbowe anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani?

    Mbowe ni mfanya biashara,hiyo ni sehem ya biashara yake pamoja na familia..ndo maana ulitaka kuijua rangi yake taka hiyo nafasi.
  11. Maundu

    Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

    Sasa Mkuu..hii umeandika Kwa wafuasi wa Chadema au Republican wa Marekani??kwani Kuna sababu gani ya kuandika lugha ya watu Kwa ujumbe wa ndugu Mashaka wa sengeremana Juma wa mtwara Kwa lugha ambayo wanaweza wasielewe?
  12. Maundu

    KERO Wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tumechoshwa na vijana wasio wakazi kuugeuza kijiwe cha dawa za kulevya

    Mwenyekiti wa uwo mtaa bwana mgaula,aliyekuwa anamiliki pap chulo..me nna Iman haujampa taarifa vizuri..jambo dogo sana kwake.
  13. Maundu

    Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

    Duh!mjomba mbona una mawazo ya ovyo kiasi hiko?ukimlengeshesha Kwa huyo mwanamme halafu Hana furaha na ndoa yake utaenda wewe?unatapaswa umshauri afanye saana maombi atapata mume,na wewe pia muombee apate mtu/mume sahihi sio kumtafutia mabwana wamkande wakimbie.
  14. Maundu

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?

    Me mbona Voda hawajanipa mpaka sasa,au wanabagua?
Back
Top Bottom