Recent content by Matunzo 02

  1. Matunzo 02

    Kama hauna uzoefu wa kufanya meditation zaidi ya miaka 20

    mkuu sijazungumzia lucid dream tatizo lipo wapi angali hata jua la asubuhi ni nzuri kwa afya?
  2. Matunzo 02

    Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    kwani mkuu kuna madhara gani mtu nikimuelekeza tahajudi ya jua?
  3. Matunzo 02

    Kama hauna uzoefu wa kufanya meditation zaidi ya miaka 20

    hizo astral projection na lucid dream siwezi kumuelekeza mtu ila tahajudi ya jua namuelekeza mtu.
  4. Matunzo 02

    Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    mkuu meditation tunafanya kila siku kwakujua au kutokujua. Kula, kutembea, kulala vyote ni meditation.
  5. Matunzo 02

    Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    jaribu mkuu maana haina gharama nyingine zaidi ya muda wako.
  6. Matunzo 02

    Kama hauna uzoefu wa kufanya meditation zaidi ya miaka 20

    Umenena kweli mkuu meditation ina athari kubwa sana ila ni ile ya ndani kabsa ila ile ya kutuliza akili unaweza kumfundisha mtu yeyote.
  7. Matunzo 02

    Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    hii unatumia asubuhi na jioni ile usiku.
  8. Matunzo 02

    Mpenzi wangu akiulizwa una mpenzi anajibu sina mpenzi. Mimi ni nani yake?

    ninaye ila akiulizwa yeye anajibu hana mimi nikiulizwa najibu ninaye.
  9. Matunzo 02

    Mpenzi wangu akiulizwa una mpenzi anajibu sina mpenzi. Mimi ni nani yake?

    wanamtafta wa kazi gani angali mimi nipo.
  10. Matunzo 02

    Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    kaa sehemu yenye utulivu, funga macho pumua taratibu vuta taswira ya jua lilivyo kadiri utakavyovuta taswira ya jua, litakuja kwenye paji la uso utaanza kuliona japo huwa panawasha kwenye paji hapo usijikune endelea kuliagalia tu, patatulia. Kama unataka nguvu, waza una nguvu. Kama kupona, waza...
  11. Matunzo 02

    Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    hakuna hata kanuni anza tu na vitu vya kawaida, kama kujua tabia za mtu, kuona matukio ya kesho n.k.
  12. Matunzo 02

    Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    hii ni njia fupi ya kufungua jicho la tatu miezi 3 unakuwa umefungua.
  13. Matunzo 02

    Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    mkuu huo ni mwanzo wa kuungana na asili anza kuiamulisha asili itakutii.
  14. Matunzo 02

    Mpenzi wangu akiulizwa una mpenzi anajibu sina mpenzi. Mimi ni nani yake?

    siteligi anakufa na muvi ipo katikati sijui nitatazama nini.
Back
Top Bottom