Recent content by Matongolo

  1. Matongolo

    Polepole sio mtu mwema ni muhuni sana

    Mkianikwa maovu yenu mnaita watu wahuni
  2. Matongolo

    Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

    Mmmh, kwahiyo shetani ni muislamu Mpaka kesho
  3. Matongolo

    Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

    Jf ina kila Aina ya watafiti
  4. Matongolo

    Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

    Jamaa naendelea kuwakong'oli tu mmoja baada ya mwingine, hajuii kua na yeye kazeeka naelekea huko huko, poleni nchi ya Amani na upendo
  5. Matongolo

    Mwanafunzi Tabora girls ajifungua chooni, mpaka anapelekwa hospitali hakujulikana kuwa na ujauzito, alidaiwa kuumwa kichwa na mguu

    Unamaanisha shurle zijengwe angani?! Kazi ipo.. Unadhani selikalri itawafanyia kila kitu?
  6. Matongolo

    Mwanafunzi Tabora girls ajifungua chooni, mpaka anapelekwa hospitali hakujulikana kuwa na ujauzito, alidaiwa kuumwa kichwa na mguu

    Tutabishana saana mkuu, lakini kama unaamini dini ntakwambia kitu na utaelewa, ishu ya maadili kwa vijana kwa Sasa inaonekana duniani kotee, imekaa kiroho zaidii, Hakuna siasa Safi wala miundo mbinu bora inaweza tatua swala hili.
  7. Matongolo

    Mwanafunzi Tabora girls ajifungua chooni, mpaka anapelekwa hospitali hakujulikana kuwa na ujauzito, alidaiwa kuumwa kichwa na mguu

    Kwani mwalimu ndo kambebesha mwanafunzi hiyo mimba? Halafu kitu ambacho hujui mwalimu hata angelipwa million 10 ishu ya maadili inaanza na mtu mwenyewe, nenda shure za private wakusimulie yanayotokea huko. Hautakuja ku comment kimihemko tena
Back
Top Bottom