Recent content by Matonange

  1. Matonange

    Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

    Wamemhurumia sana huyo, wangempiga hata miaka miwili jela. Kazidi kutuvurugia amani. Kifungo cha nje ni sawa na kutokumfunga tu.
  2. Matonange

    Hongera sana Abbas Kandoro kwa uamuzi huu

    Mkuu, ramli haijawahi kuruhusiwa hata siku moja. Kilichoruhusiwa ni waganga wa tiba za jadi kuendelea na huduma hiyo kwa kujisajili, ila serikali daima imekuwa ikesema ramli ni marufuku. Tena inaelezwa kuwa wanapokwenda kujisajili kuna kipengele kinachowaeleza wazi kuwa katika shughuli zao...
  3. Matonange

    Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge wa Igunga Dr. Dalali Peter Kafumu

    Ina maana ule ushahidi wote wa rushwa za mahindi, Magufuli na daraja la Mbutu na kina Ragge kupanda na bastola wote umeonekana hauna nguvu?
  4. Matonange

    Hongera sana Abbas Kandoro kwa uamuzi huu

    Mbona anarudia tu. Marufuku ya ramli ilishapigwa na Waziri Mkuu Pinda siku nyingi na bado inaendelea. Tatizo ni ufuatiliaji, maana ramli haipigwi hadharani, ni kama biashara ya gongo.
  5. Matonange

    Mbunge wa Rombo, Josefu Selasini awapasha wabunge juu ya tukio la Arusha

    Endeleeni tu kuchunga ndimi huku makanisa yanazidi kuchomwa na mapadri na wachungaji wanaendelea kuuawa na kujeruhiwa!!!
  6. Matonange

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    We sidhani hata kama umesoma hivyo vitabu unavyovitamka. Pengine ndio wale mbumbumbu wanaoropoka tu na ndio maana mnasababisha ghasia kila mara. Kwenye Biblia ambamo kuna Torati, Zaburi na Injili suala la kuchinja limetajwa mara nyingi tu. Kuhusu Ukristo kuwa dini sijui wewe unatafsirije maana...
  7. Matonange

    Lusinde wa Mtera - kuwa live jioni hii Clouds FM radio

    Nina mashaka, asije akawa alitoroka Milembe huyo. Hivi hospitali ya Milembe iko ndani ya jimbo gani kweli? Siyo Mtera?
  8. Matonange

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Nyongeza kwenye Hadidu za Rejea Shule anazoziendesha: Alizianzishaje, anaziendeshaje na sababu za kuziita St. Maries.
  9. Matonange

    Notisi ya kuanzisha Mikoa na Wilaya

    Katavi mkoa mzima una wilaya mbili tu. Hii imekaaje?
  10. Matonange

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Hivi kwani Annur nalo ni gazeti? Mi nilidhani ni kipeperushi tu!!!
  11. Matonange

    Mrema atua Loliondo kuimarisha afya yake

    Kwani vipi, Rostam Azizi kaipinga tiba ya Babu?
  12. Matonange

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Huyu jamaa huenda kichwa chake kina kamasi badala ya ubongo!!!! Umeeleweshwa vizuri halafu unaleta ushabiki?
  13. Matonange

    Polisi yazuia maandamano ya 'kuunga mkono hotuba ya JK' Dar

    Mbona yamewahi kufanyika maandamano, tena yaliyovuta watu wengi lakini hatujawahi kusikia polisi ikizuia kwa kuhofia foleni? Iweje maandamano ya masharobaro yasababishe foleni?!!!!!!
  14. Matonange

    Masha Lawrence yu wapi wadau?

    Karudi IMMA kwenye uwakili.
Back
Top Bottom