Big up sana ndugu yangu ulosema ni kweli kwani baada ya siku mbili tunasahau kila kitu. mimi naonelea kuundwe tume ya kuchunguza kifo cha huyu jamaa kama ilivyokushwa kuundwa tume ya kuchunguza hela ya EPA
Muungwa husimhusishe mungu kwenye kifo cha huyu mtu mimi hapa naona tumepigwa shanga la macho.kwa upeo wangu mdogo wa akili na hata jinsi hali halisi ilivyo kuhusiana na kifo hiki mi siamini kama huyu muungwana amerestishwa in peace kama inavyosemekana na kinachonisikitisha mimi zaidi mbona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.