Recent content by Matawi ya juu

  1. M

    Ukiangalia kampuni zenye uwekezaji mkubwa, inasikitisha kuona wazawa wa asili hawapo kabisa au wanahesabika

    Boss tunaelekea 70 years baada ya uhuru, kweli bado shida zetu ni wakoloni 🤔,Mbona nchi nyingi za South East Asian kama Singapore tulikuwa sawa kiuchumi in 60’s lakini wao sasa ni first na wana GDP per capital kuliko hata United States, hata Tanzania mfano Iringa kulikuwa na wakulima wazawa in...
  2. M

    Ni utetezi gani hutolewa mtume kuoa mtoto ?

    Mwanaume muislam anaweza kuoa mtu kutoka dini yeyote lakini mwanamke haruhusiwi kuolewa na mtu ambaye sio muislam, and to be fair hata dini nyingine wana same rules, ni mungu au nani aliweka hiyo sheria 🤔
  3. M

    Nyie wafuasi CHADEMA mkono wa Sheria haumalizwi kwa HASHTAG za #FREE sijui nani, acheni kufata mikumbo mtazeekea Mahakamani.

    Hata utawala wa Iddi Amin na Mobutu ulikuwa na machawa na watetezi wake, huu ni wakati wako sasa
  4. M

    Ukiangalia kampuni zenye uwekezaji mkubwa, inasikitisha kuona wazawa wa asili hawapo kabisa au wanahesabika

    Usidharau biashara ndogo, zina nafasi kubwa sana kwenye uchumi na mzunguko wa pesa
  5. M

    Ukiangalia kampuni zenye uwekezaji mkubwa, inasikitisha kuona wazawa wa asili hawapo kabisa au wanahesabika

    Wanajaribu kuzalisha na kufanya biashara kuliko wazawa by far, ila wanakumbuka mlichowafanya na azimio la Arusha, na wanajua mfumo wa mwafrica ulivyooza,sio rahisi to operate with confidence sehemu ambayo kufanikiwa inategemea wanasiasa na maamuzi ya vimemo, nenda Rwanda uone discipline yao...
  6. M

    Mwanza imepitwa hadhi na Arusha, ni local city kama Mbeya na Tanga. Uwanja wa Serengeti utaipush Mwanza, tatizo ni kukosa elimu kwa baadhi ya viongozi

    Mnapenda kulalamika sana wakati hata kura hampigi na kibaya zaidi wenyewe wezi na wala rushwa watupu
  7. M

    Ukiangalia kampuni zenye uwekezaji mkubwa, inasikitisha kuona wazawa wa asili hawapo kabisa au wanahesabika

    Kama uko productive hizo tenda zitakuja tuu, muhimu tutafute namna ya kuwa productive,fikiria mikopo,riba,rushwa, sheria, sera etc angalia in a big picture wapi watu wanakwama
  8. M

    Ukiangalia kampuni zenye uwekezaji mkubwa, inasikitisha kuona wazawa wa asili hawapo kabisa au wanahesabika

    Uongozi unaanzia nyumbani kwako, huku juu ni reflection ya watanzania wengi, imagine mpaka leo hata kusimamia uchaguzi wetu hatuwezi tunaibiana tuu
  9. M

    Ukiangalia kampuni zenye uwekezaji mkubwa, inasikitisha kuona wazawa wa asili hawapo kabisa au wanahesabika

    Mwafrica hazalishi chochote kwanini upewe tenda, na anayetoa tenda ni huyo huyo mwafrica, tuwe serious sio kulaumu kila kitu
  10. M

    Ukiangalia kampuni zenye uwekezaji mkubwa, inasikitisha kuona wazawa wa asili hawapo kabisa au wanahesabika

    Nani amewazuia au kuwabania wazawa,yes kuna changamoto lakini hata wao wanapitia humo kama wengine, tukubali mwafrica akili ni ndogo na kitakachombadilisha ni yeye mwenyewe sio serikali mpya,amkeni
  11. M

    Kule ntaandika bila kodi, Hapa naweka kodi

    Inaweza ikawa trap hii, msiingie nawashauri, tunapenda michango yako Brittanica lakini wi bela wochi awa beki
  12. M

    Shillingi 464,100,000,000 inatosha kuwalipa fidia wakazi wote wa Sinza?

    Kumbe unajua sinza Ina thamani kubwa 😁
Back
Top Bottom