Recent content by Maswali

  1. M

    * Exclusive Scoop *

    Mwanamama, Umesema mambo ya kweli. Nakubaliana nawewe kwamba serikali yetu haiwezi kulipa zaidi ya $ million 200 bila ofisi kubwa kujua. Kuna tatizo kubwa hapa ambalo linakwenda mpaka ofisi kubwa. Na kwa sasa ishu ya Richmond imekuwa distraction, ingawa nafurahi kuona wananchi wameona ukweli...
  2. M

    Mohamed Gire achangia kampeni ya Mccain

    Huyu jamaa naona anajaribu kununua political clout kwa yeyote atayekuwa kiongozi. Yeye ni opportunist anayetaka kuendeleza biashara zake bila kujali lolote lingine.Sitashangaa kama alitoa mchango mkubwa kwa CCM wakati wa uchaguzi na matokeo yake tunayajua. Kuna mtu yeyote anajua kama huyu jamaa...
  3. M

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    Wakuu, Nimefurahishwa sana na michango yenu hapa. Nakubaliana na wengi wenu mliochangia hapa kwamba siku za mtu kuhujumu uchumi halafu akaacha kazi au kubadilishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine zimepita. Mhujumu uchumi lazima achukuliwe hatua za kisheria na pesa warudishiwe wananchi...
  4. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Kuhusu Kambona kufeli mtihani wake wa mwisho London, naona unatoa speculations. Tunaweza kutoa speculations mpaka kesho. Lakini kuna uwezekano kuwa wazungu hawakutaka amalize kama ulivyosema. Na nina data inayoweza ku-support hilo. Kulikuwa na German doctor alimtibu Kambona 1964 TZ. Huyu daktari...
  5. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Ni kweli Nyerere alisukuma ishu ya East African Community, na alisema yuko tayari kusubiri mpaka Kenya na Uganda wawe tayari. Alivyoulizwa na moja ya magazeti, nafakiri ilikuwa London Times, akasema hiyo ni personal opinion yake mwanzoni. Alikuwa hajaongea na viongozi wengine kuhusu hilo. Hapo...
  6. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Maalim Bin Maryam: Ni kweli kwamba haitakiwi kuangalia data za zamani kwa mtazamo wa sasa. Hapo tupo boti moja. Labda nifafanue zaidi kuhusu 1960. 1960 Nyerere alitumwa na TANU kwenda ku-negotiate na wakoloni kuhusu uhuru. Uamuzi ulishafanywa kwamba uhuru tutapewa; swali lilikuwa tarehe...
  7. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Bin Maryam, Kuna system ya kuchambua data kutafuta ukweli. Kwa mfano, fani ya Political Science ina methodology yake ya kuchambua data; hilo ni kweli kuhusu fani zote nyingi. Unaposema wakati wa kusoma makaratasi umepitwa, sijui unataka nini sasa? Data zipo, na kuna njia ya kuchambua hizo data...
  8. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Bin Maryam, Nimejaribu sana kusoma kuhusu mapinduzi ya Zanzibar na maasi ya 1964. Sijaona jipya lililosemwa hapa. Hebu tuambie: kulikuwa na sababu gani ya kupindua serikali 1964? Ulikuwa unataka tutawaliwe na Sultani nini? Ni kweli Marekani ilifanya mambo mengi ya kijasusi Afrika...
  9. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Wakuu, Hii thread inakataa kona nyingi. Nafikiri itakuwa jambo la busara kama tukifungua thread nyingine ya 1964 Army Mutiny. Je Kambona alihusika vipi na maasi hayo? Sina uhakika kwa kweli. Lakini nikiangalia data nilizoweza kupata, siwezi ku-speculate kwamba Kambona alikuwa na mipango...
  10. M

    Miaka 45 Baadaye. Wako wapi hawa?

    Mwanakijiji, upo serious kuhubu Munanka au? Wafuatao ndio baadhi ya wanadiplomasia wa kwanza nje ya nchi. Wao walikuwa UN: Michael Lukumbuzya, Sebastian Chale, C.Y. Mgonja, na Erasto Mang'enya. Ninaona hawa walifanya kazi nzuri. Chief Lukumbuzya alikuwa mmoja wa wakwanza kama...
  11. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Wakuu, Nimerudi kuangalia vitu viwili vitatu inaonekana ni kweli Kambona alikuwa anataka umaarufu wa haraka. Kutoa mfano, nina ripoti moja inahusu ishu moja ya "alleged" forged documents kuhusu Marekani kutaka kupindua nchi kwa ushirikiano na wareno mwishoni wa 1964. Serikali ilipata document...
  12. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Kuhusu Kambona na Nyerere kila mtu ana haki yakusema opinion yake. Na naweza kuheshimu yako. Kuwatetea viongozi wa Africa ni kitu kimoja, kusema ukweli kuhusu mambo yaliyofanywa na nchi za ulaya hapa Afrika ni kitu kingine. Wengi wanataka kulaumu viongozi wetu tuu bila kuangalia sababu...
  13. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Siwezi kupoteza muda wangu kutetea kwamba baadhi ya sera za Ujamaa zilikuwa mbovu. Sio zote. Hilo nimeshasema. Kitu ambacho baadhi ya watu hapa hawataki kuona ni kwamba Tanzania iliadhibiwa kiuchimi kwasababu ya siasa zake za ndani na mambo ya nje. Kwa wale ambao wamelala kwenye mambo ya...
  14. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Na nani aliwapa ruksa ya kuchukua mashamba kwa nguvu? Nani aliwapa ruksa ya kuiba mali zetu asili? Kweni tuliwaomba waje kututawala? Sio watusaidie bali warudishe pesa walizoiba wakati wa ukoloni!
  15. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Huwezi kulinganisha msaada Tanzania uliopewa na nchi za Nordic na system ya Wafaransi na nchi walizotawala kule Afrika magharibi. Hata baada ya uhuru, Boigny alikuwa memba wa serikali ya France; budget yake kubwa ilikuwa inatoka Paris. Zaidi ya hapo, nakubaliana na wewe kwamba kutegemea...
Back
Top Bottom