Recent content by masterkraft

  1. M

    ASA Microfinance

    Ipo ivi wakuu naon mnampinga sana mdau apo juu ila ASA wameshaita watu batch 2 ndo wapo training.kama hujaitwa na bado unahitaji kazi nashauri ni vyema ukapeleka cv physically pale kuna cv drop box unakua Na chances kubwa za kuitwa Acha kazi iendelee Tukutane TPB BANK
  2. M

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Oral nimekimbizaa sanaa Tukutane kazini
  3. M

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Oral nmeikimbiza vbya mno Tukutane kazinii pale kuna
  4. M

    Connection ya mafunzo kwa vitendo(field)

    Kuna sehemu huwezi kosa field kama upo dar peleka NSSF nafasi huwa zipo nyingi sana
  5. M

    Uzi maalumu: Kwa wale vijana tuliokwama katika maisha tushauriane mambo muhimu ya kufanya wakati huu

    Canada kuna maisha vijana tafteni hela twendeni mbele tukatafute mitaji ya maan kule opportunities ni nyngi kikubwa ni kufanya saving ukirudi bongo unafanya kitu cha maan
  6. M

    Hivi TPB wameshaita second interview baada ya ile

    Tukutane TPB BANK Dear candidates kila hatua Dua ,kama umekosa usikate tamaa a mapambano yanaendelea nitazidi kuwapa update
  7. M

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Tulieni vijana nafasi zipo 58 lazma kila mtu apatee we are TPB BANK PLC
  8. M

    Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

    Watu wa TPB TANZANIA POSTAL BANK PLC
  9. M

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Kiongozi nipo apa interview ilitakiwa ianze saa nane mpka saa tisa ila mpka sasa ni saa nane na dakik 45 bado nipo kwnye foleni mbele yangu kuna watu sio chini ya 200
Back
Top Bottom