Recent content by Master WAPEKEYE

  1. M

    Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

    Jamii Forum imefungwa,, nyie mnafanya nini hapa?
  2. M

    Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

    Huyu ameona aufyate na aukunje mkia wake ili huenda anakumbukwa kwenye ukuhu wa mukoha au ukuhu wa liwiraya
  3. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    HIVI WEE UNAEJIITA insider man UNATUONAJE KWA MFANO
  4. M

    eFootball Special Thread

    Ndio nini
  5. M

    Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Tafuta laki moja, kwa siku tafuta odds tatu usizidishe. Muhindi utamliza kila siku. Tatizo vijana wazembe wanatumia mia tano kutafuta odds 300 wale mamillioni
  6. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mnabwabwaja sana. Na jf imekuwa na vijana wa HOVYO wengi sana
  7. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mmejikalia hapa ki UCHWARA mkibwabwaja mibwabwajo isiyo na maana. Stori iko wapi
  8. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nendeni mkalale sasa, Sabato tayari imeshaingia
  9. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Sasa INSIDER, Fanya mpango wa bia kazaa baadae nikiangalia Simba na coastal union niwe naburudika . 0753110858 Ubarikiwe
  10. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nimesikitika sana baada ya Iryn kukupigisha puli na wewe kukubali. Halafu unajisifia eti risasi zikatoka za moto
  11. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    KESHO Jumatatu nikitoka kwenye MAANDAMANO nikikuta hakuna muendelezo naupiga BAN uzi huu mshike adabu WOTE
  12. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Story ikija mnipigie simu. Nimechoka kila siku kufungua huu uzi. Ni amri nimetoa
  13. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nitafurahi sana siku nikiskia Mama J amepigwa mtungo. INSIDER MAN aumie,alie
Back
Top Bottom