Nimewahi kusikia malalamiko kama haya kutoka kwa mdogo wangu ambae amemaliza kidato cha sita mwezi Mei mwaka huu kwenye mchepuo wa PCM. Labda kwa kuongezea tu malalamiko ya mdogo wangu ni kwamba shule hiyo licha ya kuwa na combination zote za science lakini haiweki mkazo kwenye masomo hayo...
Ila wabongo hatuna uvumilivu kabisa, yaani hata kocha awe mzuri vipi tutamtia preassure + kumchafua hadi aonekane hafai. Sasa kocha kafungwa gemu moja tu kwenye ligi tayari anaonekana ni tapeli hafai kabisa! Ndugu zangu wananchi wenzangu huu ni mpira wa miguu kuna matokeo ya kufungwa pia. Acheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.