yule jaj mstaf wa mwl anajiita c*m iman na c maslah ndo kwa tarifa kutoka kwa mnyetishaj moja toka lumumba kwa yani tokea mwez wa1 kila got la kada mkuu wa chama limepigwa kumwomba aokoe jahaz...kalaga baho.
yule jaj mstaaf wakipind cha mwl.anajiita c*m iman na c maslah ndo kwa taarifa kutoka kwa mnyetishaj moja ambaye yupo pale lumumba kwa yaan tokea mwez wa1 kila goti la kada mkuu wa chama hcho amelipiga kumwomba aokoe jahaz..kalaga baho.
ndugu yangu na mim nimekusoma kwa upande wataratibu zakusajil kampun ila naomba unibrief juu ya taratibu za biashara yenyewe mfano mim nataka niwe wakala wa bima za vyombo vya moto e.g pikipiki sasa nashndwa nianzeje? nipo iringa(0752344830)
tupe matokeo ya njombe coz nimezidaka nyepe nyepe kuwa uchaguzi ulikuwa jana 16/08/2014......
TUNAYASUBIRI KWA HAMU,KAMA AMBAVYO LUMUMBA WANAVYO YASUBIRI
"You may fool all the people some of the
time, you can even fool some of the
people all of the time, but you cannot
fool all of the people all the time.
"ndo ivo mzee mtela hoja yako is invid and void........embi jarib kutaja sababu za msingi
watanzania wamejiandaa kwa kubadili Regime waliowengi jambo hili pengine wameliandika kwa kalamu ya wino wa Damu zao Ila pamoja na mambo mengine c*m inajivunia (TUME ISIYOHURU YA UCHAGUZI)......NDIO maana nadriki kuwa pleased nakusema......
It is enough that the people know there
was an...
Binafsi kama p.analist,philosophical base ya communism,matured socialism,ni kufanya au kukubaliana kitu as group,japo wenzetu(china),wajanja wanachukua good from left (liberalist policies) good from right(socialist ones) then they combine then they go,ccm ilisahau hilo ndio mnaweza kubaliana...
Ndugu wanajamvi
Harakati na wanaharakati dhidi ya haki za wanawake isieleweke kana kwamba ni jambo la kutangaza vita dhidi ya mwanamme katika jamii. Tena na tena pengine isidhaniwe kuwa nikulipiza kisasi dhidi ya mwanmme, bali pamoja na mambo mengine All struggles should be rooted in human...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.