Recent content by Marrryline

  1. M

    Warumi

    Dah
  2. M

    TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mungu wangu jamani nimeumia sana kifo cha Warumi japo simfahamu lakini alikuwa anatupa burudani sana humu jukwaani eeh NIMEUMIA NIMEUMIA NIMEUMIA SANA [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  3. M

    Naomba kumfahamu Shamim Mwasha

    Yes kifungo cha maisha yeye na mumewe
  4. M

    Uliza Swali lolote kuhusu Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania)

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  5. M

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Daah Nilitamani sana Amalize muda wake Yaani miaka yake mitano [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Upumzike kwa amani Rais wetu Jemedari John Pombe Magufuli [emoji120]
  6. M

    Kwanini radi huwa haziungurumi mida ya asubuhi?

    Majibu mawili tu kapotea angejibiwa Mara 6 nahisi angefariki Dunia [emoji16]
  7. M

    Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

    Mungu wetu ni mwema sana hata sasa yeye ni Ebeneza [emoji120][emoji120]
  8. M

    Tukumbushane vituko vya COVID - 19

    Acha kabisa Mkuu niliumwa wiki mbili sitoki nje Yaani unajua maana Yakuumwa ikifika jioni mwili unachemka nikaishia kunywa tangawiz kujifukiza hospitali sijakanyaga hata nilikuwa naogoooopa balaa nilihis Covid lkn mbona alliyekuwa ananiuguza hakuumwa hata kichwa,mwisho nilipona vizuri...
  9. M

    Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Nilikuwa Arusha halafu malaria ilikuwa imenikamata balaa niliamka kuwasha Tv nikakutana na Wimbo wa TAIFA Huku Mkapa akianza kutangaza habari za Msiba ilikuwa habari ngumu sana
Back
Top Bottom