Jamani mimi naona mnachukua sheria mkononi huyu rostam ninavyofahamu anashukiwa kwa ufisadi lakini sijasikia uthibitisho na hukumu ya kusema ni kweli ni FISADi sasa kama mtu akishukiwa tuu ndio hukumu moja kwa moja tutakuwa hatuendi mbele. Sio kwamba sina uchungu na hela zinazoibwa ! lakini kama...
Profeessor alikuwa hajui anachokiongea !
waziri alikuwa anaongea na uchunguzi wake umefanywa na TUME ambayo ndani yake hakukuwa nam tu aliyewahi hata siku moja kutibu mtu mwenye virusi vya ukimwi!
Vitu alivyotaja waziri alisema Cyflow technology machines zimeonyesha kuwa haziko sawa wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.