Marehemu atakufaje mara 3... Magufuli mlisema ameiuwa cdm, samia first term mkasema imeshakufa. Leo tena mnasema inabidi ife, marehemu anatakiwa are mara ngapi?
Kama Mh. Tundu Lissu ameshtakiwa na kujukumiwa, maridhiano ya nini? Nafikiri maridhiano na wale waathirika wa Oct 29, 2025 ndio muhimu. Wanaosema hawajapata maiti wa ndugu zao au waliokuwa abducted ccm itidhiane nao na serikali iwape maiti zao. Hayo ndio maridhiano. Lissu kitu gani?
Sorry, kutofautiana nao haina maana kila kitu kipo sawa. Kama kuna mwenyekiti wa tume anasema kuna watu zaidi ya 500 waliuawa wakati wa uchaguzi na walishikwa watu wengi na hakuna hata mmoja aliyefikishwa kwenye vyombo vya sheria (mahakamani) nahisi tunahitaji mkombozi. Watu wanauawa na kutekwa...
Kwa ajili gani nijenge nijenge mkoa waliozaliwa wazazi? Nipo mkoa mwingine ambapo nimejenga. Kwanza kwetu ni Tanganyika/Tanzania na ninaishi popote Tanganyika hii.
Wanaharakati wanaotaka matokeo nyumba si kitu cha maana. Mfano Rais wa kwanza wa Tanganyika/Tanzania alikaa madarakani miaka 25+ lakini hakujenga nyumba kubwa Butiama.
Mnaofikiria visinia and other petty things like house huwa naona kama mmeishiwa. The most important thing should be the...
Na akigombea labda wakamlete malaika mbinguni
Hela imepelekwa kwenye ukombozi wa nchi. Hiyo nyumba ni nzuri tu na ni bora kuliko za wananchi asilimia 90 Tanzania.
Hela ya kujenga nyumba ya ghorofa kwa gharama kubwa inapatikana wapi wakati wannchi na viongozi wa chadema wapo busy kuhakikisha...
Elegant vizuri kwani digitally wote si wanapaswa kusaini ili iwe shared kwa muhusika? Ebu elezea vizuri bwana wakili! Siku hizi application ya docusign ipo na ni rahisi sana. With sensitivity ya hii kesi hakukuwa na haja ya wote kutimiza matakwa yote ya sheria?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.