Bill ya umeme ya mwezi wa Kwanza ambayo imekuja mwanzoni mwa mwezi huu wa pili imewaacha watu hoi na nilidhani matumizi ya nyumbani kwangu ndo yamekuwa makubwa na kuanza kuwafokea watoto, kumbe ni kila kona ni kilio, kila mwezi bili yangu ya umeme ilikuwa inarange 5000-5500, LAKINI cha...
hivi ndoa ni kitanzi kwa wanandoa kwamba hata kama ndoa inakunyonga uvumilie? cha msingi procedures zote zifuatwe hasa mahari, mtu akifunga ndoa haina maana kuwa hawezi kukuacha au kuoa mke mwingine, ni jinsi maisha, hulka, tabia na mioyo yenu itakavyojielekeza.
Naamini asilimia mia habari hii, kwani Lowassa ndiye aliyemsomesha James Olle Millya pale Tumaini University Iringa, wakati anasomea shahada ya kwanza ya Sheria, kwa hiyo hii ni planned tu, na mara tu niliposikia kuwa kahamia chadema, wenye akili timamu tulijua kuwa ni "kwa kazi maalumu".
Machemli kakosea sana, na hii ni hatari kwake na chama chake, wao ndo huwa wanasema kuwa CCM/serikali ni wanyonyaji kwa wafanyakazi lakini wao ndo wa kwanza kuwanyonya wafanyakazi, hivi elfu 70 kwa mwezi ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.