Habari ndugu zangu!
Katika mambo ambayo watu wa kisasa tumekosa, hasahasa wakazi wa jiji la Dar, jiji la foleni ni kukosekana kwa muda wa kutafakari. Hii pia inaendana na kujengeka kwa tabia ya kufanya mambo bila kufikiria kwa umakini na undani juu ya jambo hilo....manufaa na madhara yake! Hali...