Recent content by Manyahe

  1. Manyahe

    Unawezaje kumshawishi mtu aipende JF?

    Hata mimi niliingia kwa njia hii
  2. Manyahe

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Unamaana gan kusema mtaandao pinzani sijakuelewa Au jamii foram wanampinzani?
  3. Manyahe

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    mbona nyuzi za siku hizi aziwekewi video au picha ili kunogesha zaidi
  4. Manyahe

    Nawahi kama jogoo, ndani sekunde kadhaa namaliza. Je naweza kupata dawa?

    Kama mwenzio haridhiki mwambie yeye ndio awe anatoa hela
  5. Manyahe

    Wafanya biashara wa online wekeni Bei za bidhaa hadharani

    Wengine tunanunua kwa sababu ya bei ila hatuhitaji kiivyo hiyo bidhaa kwa hiyo hata ukiweka bei mteja akikufuata inbox unajua tayari ni mteja kuliko kuto kuandika bei mtu hawezi kukufuata inbox anaipita tu bidhaa yako
  6. Manyahe

    Rafiki Briquettes mkaa utokanao na makaa ya mawe ni mbadala sahihi wa mkaa utokanao na miti

    Sasa si mpaka ufike mtaani kwangu Au mimi ndo niufate?
  7. Manyahe

    Car for sell Toyota IST

    One day yes
  8. Manyahe

    Kwanini Watanzania wengi sana wanachanganya L na R?

    Minyoosho itakuja kipindi ambacho naandika ujumbe rasmi au barua rasmi lakin kwenye hizi txt,comments huwa nabaruuuza nnavyojiskia tu
  9. Manyahe

    Gharama za kuwekewa umeme

    Lengo umeme upite mpaka vijijini ila sio kila nyumba iwe na umeme
  10. Manyahe

    Kwa nini Aliens kutoka anga za mbali hawajawahi kutufikia duniani??

    Kuna mmoja anauza chapati mtaani kwangu
  11. Manyahe

    Wazazi kama mna hii midoli, ichomeni moto

    Kwani we umeandika nini
  12. Manyahe

    Wazazi kama mna hii midoli, ichomeni moto

    Ndo kusema hujui ulichoandika
Back
Top Bottom