Recent content by Manstone

  1. Manstone

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Huuu uzi wa muda Sana lakini napenda kuunga hoja.
  2. Manstone

    Nahisi nimekua addicted na huu mchezo wakuu

    Kumbe na wewe poa msaliti
  3. Manstone

    Ni Umri gani Sahihi wa Kutahiri watoto wadogo?

    Vipi ulisha wahi kudunguliwa na muzungu?
  4. Manstone

    Ni Umri gani Sahihi wa Kutahiri watoto wadogo?

    Kutahiriwa ni Agano LA Mungu na vizazi vyake ivo asiyetahiriwa hutengwa na jamii take. Mtu apaswa kutahiriwa akiwa na Siku 8 baada tu ya kuzaliwa. Mwanzo 17; 9-14
  5. Manstone

    Naomba kujuzwa dawa ya kutibu tatizo la kichwa kuuma mara kwa mara

    Habari wapendwa? Nakuja kwenu kuomba anaefahamu dawa ya maumivu ya kichwa kwani yamekuwa yananisumbua kila siku najikuta natumia painkiller kila aina lakini zinagonga mwamba huu mwaka was saba sasa kinanisumbua tu. Nimeenda hospitali mbalimbali lakini naambiwa sina, nimepiga CT scan MRI...
Back
Top Bottom