Recent content by manjuki2

  1. M

    Mwaka 1990, gazeti la Daily News liliweka tangazo/habari ya Magufuli kuomba asaidiwe matibabu ya moyo enzi anasoma Chuo Kikuu Dar es salaam

    Eeeeh, kumbe alikufa kifo cha fedheha ,kivipi mkuu? Au alifumaniwa na mke wa mtu halafu wananchi wenye hasira kali wakampiga na mawe mpaka umauti.
  2. M

    Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Kwenye harakati za kutafuta maisha kuna kutapeliwa mkuu.
  3. M

    Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Ninawahurumia kwa sababu siamini kama akili zao ni timilifu,huenda zimechotwa kidogo na nabii.
  4. M

    Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Aibu kwa Mwamposa mwenyewe. Ukiona jinsi waumini wake wanavyotembea kwa miguu siku za ibada utalia machozi
  5. M

    Huyu kibaka hatonisahau kwa hii adhabu niliyompa

    Kwani yeye alitumia nguvu kidogo kuvunja mlango?
  6. M

    Tazama vibe la Lissu wakati akitoka Mahakama ya Kisutu, leo Agosti 18, 2025

    Shida yako ni chadema na Lisu na siyo vinginevyo. Mbona kwenye majukwa ya siasa wengine ni zaidi ya Lisu au masikio yako yanakuwa yameziba?
  7. M

    Tazama vibe la Lissu wakati akitoka Mahakama ya Kisutu, leo Agosti 18, 2025

    Mbona wewe una PhD ya uropokaji au hujijui?
Back
Top Bottom