Recent content by Mangovi

  1. Mangovi

    Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    Kagoma nafasi yake inaonekana kabisa
  2. Mangovi

    Tulioishi Dodoma miaka ya 90's mpaka miaka ya 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Unaibukia Nam Hotel uyo mdogo Mdogo Njia panda ya Area C Mara Airport Hii hapa unavuka pale unatokozea bara bara ya rusha roho unanyooka mpaka Central Secondary Makao Makuu ya CCM haya hapa tena enzi izo kulikua hamna fence unakatiza mule mule ndani😂
  3. Mangovi

    Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

    Wapare wapo sana Lukozi, Mtae mpaka Shume uko pia Kwekifinyu.. Pale Lukozi ziko koo hasa za kina Mbwambo, Mndeme, Mjema. Wambugu wengi ni Kwemakame, Magamba, Malibwi mpaka Mshangai
  4. Mangovi

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Hawa sio wanashangilia best looser kwamba possibility ya timu yao kwenda 16 bora, na ni baada ya Zambia kupigwa na Morocco
  5. Mangovi

    Tetesi zinadai Israel yalipua Hospitali Gaza, 500 wafariki

    Daah kweli wamepiga hospital ya Diocese aisee
  6. Mangovi

    Jewish na Ubaguzi dhidi ya Imani Nyingine

    Wakuu wamenyuti wanapita kama wanaaga maiti
  7. Mangovi

    Jewish na Ubaguzi dhidi ya Imani Nyingine

    Hii ni Israel angalia hawa watu walivo wabaguzi dhidi ya Imani nyingine mpaka wanafikia hali ya kuwatemea mate. Video show Jewish worshippers spitting towards Christians and Churches in occupied East Jerusalem.
Back
Top Bottom