Recent content by Man fila ndu

  1. Man fila ndu

    Askofu Bagonza: Naamini wanaotishia kuniua watafanya kweli

    Kwa hiyo Wayahudi walivyopanga kumuua Paulo, nae akakimbia kwa kushushwa kwenye kapu na wanafunzi wake, kwa hiyo nae ni mtumwa na kuwadi wa shetani ? Matendo ya Mitume 9:23–25.
  2. Man fila ndu

    Askofu Bagonza: Naamini wanaotishia kuniua watafanya kweli

    Kwa hiyo ukiogopa kutekwa ndio unakua sio mfuasi wa Yesu, kwa hiyo wewe unataka kusema kwamba hauna roho ya uoga?
  3. Man fila ndu

    Askofu Bagonza: Naamini wanaotishia kuniua watafanya kweli

    Sawa Binti umeeleweka
  4. Man fila ndu

    Askofu Bagonza: Naamini wanaotishia kuniua watafanya kweli

    Sasa mwanaume mzima hapo kichekesho ni kipi, wenzako wanalinda migongo yao wewe unajichekeshachekesha huku unarudi kinyumenyume kuifata koni.
  5. Man fila ndu

    Nani aliwaruhusu CHADEMA kutumia mazishi ya Alute kama uwanja wa kisiasa?

    Ni kweli unachosema dada mwajuma ndala ndefu
  6. Man fila ndu

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Dada yangu mbona hapo papo flesh tu, au ulitaka wazulumu na kuiba hela ili wajenge hekalu kama alilojenga mume wako kijijini songambele
  7. Man fila ndu

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Wewe subiri tu Pepo yako, tunajua wewe ni mmoja wa mabikira 72 mtakaochangia bwana moja.
  8. Man fila ndu

    PostGE2025 Peter Madeleka: Mahakama imethibitisha hakukuwa na uchaguzi mwaka 2025

    Sawa kwa kuwa unaamimi mizimu ngoja tusahau
  9. Man fila ndu

    PostGE2025 Peter Madeleka: Mahakama imethibitisha hakukuwa na uchaguzi mwaka 2025

    Sio kweli. Unafikiri Dola zote zilizowai kuanguka watu waliingia porini ? Ulishawaza kwa nini watu wanasema Mungu Fundi.
  10. Man fila ndu

    Mwaka mmoja bila Humphrey Polepole: Sauti yake ilikuwa ya kinabii

    😆😆😆😆. Vipi Binti Kigori mbona una hasira ? Lakini wewe mwenyewe ndio uliyeamua Man-fila-ndu akutoe bikra sasa unalia Huihui juu ya maumivu ? Vumilia tu kidogo yataisha, nusu mpingo ni kasehemu kadogo sana tu ya eneo lote ulilokuwa nalo.
  11. Man fila ndu

    Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

    Kwa hiyo wewe ni shabiki wa bwana wako Lema. Angalia lakini usije gombana na mke wake yuko canada.
Back
Top Bottom