Recent content by Mamaya

  1. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Tafuta sea piano toleo jipya ,wameboresha sana
  2. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Halipo sokoni kwa sasa,bei yake ilikuwa 450,000
  3. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Hilo toleo balipo kwa sasa,ilikuwa inauzwa kuanzia 450
  4. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Kinaweza kuwa na 1000wna bado ukawa kelele,music autput ni zaidi ya watts, kama pre amplifier haina DSP nzuri ni bure
  5. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Na bongo zimejaa ronya tupu,.mchina kashika hatam, miziki ya mtumba/used nayo ni ya kulenga kwa manati, hazipatikani
  6. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Sasa huko kwenye AVR ndio kuna option zote za mziki na movie, setting za kutosha, connection za apeaker za kutosha, ukiingiia huko hutakaa utoke kamwe! Karibu sana
  7. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Hakuna sub yoyote ya mchina inayotia mguu kwa seapiano hata baadhi ya audio gear zeye majina zinapigwa gap, jamaa wanajitahidi sana, sound componet anazotumia kwenye chip zake ni nzuri, ukifungua amplifier plate ya seapeano na sub nyingine kuna utofauti mkubwa sana
  8. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Bro situmii sub mimi, hata kwangu soundbar bado ni mziki wa kipuuzi tu, natumia Yamaha Avantage Rx A 3020 , ka google uone balaa lake. Hizo saoundbar za mchongo, copy za mchina bado hamna kitu
  9. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Hisense hamna mziki mle,kama ni soundbar atafute walau vizio, ila kama yuko poa atafute harman kardon/jbl
  10. Mamaya

    KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Hisense anakalishwa na seapeano,tafuta seapiano ana matoleo mapya mauri sana
  11. Mamaya

    Top 5 yangu ya Magari used ya Kijapan yanayotumia Mafuta kidogo na Reliable (Non Hybrid)!

    Hapo kwenye viwanja ndio usiseme kiwanja cha 20x18 au20x15 yaani ni aibu
  12. Mamaya

    Kwa waliowahi kutumia Subaru Forester S-Edition (SH9) 2011

    Kwako kama manunuzi ya mkojo wa mwarabu sio shida chukua
  13. Mamaya

    Top 5 yangu ya Magari used ya Kijapan yanayotumia Mafuta kidogo na Reliable (Non Hybrid)!

    Tra imefanya tuone gari nzuri tu zikipita kwenda nchi za wenzetu huku sisi tunakimbizana na ist, hebu fikiri ist kwa sasa unaipata kwa 18-20m
  14. Mamaya

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hiyo story ya konda msafi inaitwaje mkuu
Back
Top Bottom