Recent content by mama mkunga

  1. mama mkunga

    Meya wa Ilala ( Jerry Slaa) suluhisho la mafuriko ni hili hapa....

    Mhestahiki meya Jerry Slaa, Kwanza kabisa napenda kuchukua fursa hii kukupa pole kwa mtihani wa mafuriko na pia natoa pole kwa wote waathirika wa mafuriko. Pili, naomba tafadhali pitia kiambatanisho hapo chini tafadhali kwa habari kamili. Kiambatanisho
  2. mama mkunga

    DR. Mwakyembe na Natural Justice

    Nadhani Dr. HGM angewapa serikali muda maaalum wa kutoa ripoti yake haraka iwezekanvyo. na ni kweli HGM kacheemka kusema hatolipiza kisasi. HGM'S desires for revenge deserve to be recognized as a legitimate factor when deciding what the level of punishment should be, so long as the ultimate...
  3. mama mkunga

    Sheikh Ponda na Sheikh Basalehe ni kina nani ndani ya CUF?

    Issue hapa sio uislam bali issue hapa viongozi hao wanaexercise haki zao kikatiba za kuwa huru katika mambo ya siasa. sasa hakuna correlation kati ya role zao za dini na siasa zao. tusijifanye hamnazo wanaJF
  4. mama mkunga

    Tanzania is among top 10 Fastest growing Economies in the World

    This is very great news for us Tanzanian, Tanzania is one among the fastest growing economies. Africa's impressive growth Africa is now one of the world's fastest-growing regions MUCH has been written about the rise of the BRICs and Asia's impressive economic performance. But an analysis by...
  5. mama mkunga

    Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

    Kazi si ndogo humu ndani kwa kweli
  6. mama mkunga

    Chadema kutaka maelezo toka wabunge 10 ambao hawakuja Bungeni wakati wa "walkout'

    Mbona mnakuwa mnanyanyasa kijana kwasababu kafanya maamuzi thabiti rejeeni kanuni ya 21 fasili ya 2. haki yake jamani.
  7. mama mkunga

    Mrema wa TANROADS ang'olewa rasmi

    kawaida sana habari hiyo obvious atapewa sehemu ya kula kiulainiiii bila kelele wala propaganda. hamna habari hapo.
  8. mama mkunga

    Who is IGP Mwema? CV Please!

    huyu jamaa ni mchapakazi sana maana sasa ana mchakato wa kukiboresha kitengo cha Forensic science katika jeshi la polisi. Tanzania nasi tutajidai kwa kupitia uongozi wake.
  9. mama mkunga

    Zitto apewa majukumu ya Kimataifa

    Hongera Kaka Zitto katuwakilishe Inavyotakiwa na wala sio watakavyo. Hongera kaka na kazi njema.
  10. mama mkunga

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Hakika sote ni waja mwenyezi mungu na sote kwake tutarejea!! Rest in Peace kaka chacha Wange!! Tunaahidi kuendeleza ulichokuwa unakipigania katika chama na Taifa kwa ujumla. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Kaka Chacha mahali pema peponi. Amin!!
Back
Top Bottom