Recent content by mama kubwa

  1. M

    Klabu ya Young Africans imemutambulisha Fadlu Davids Kama kocha mkuu

    Atapokea vichambo mpaka akimbie salama yake afanye vizuri. Kwenye issue ya kocha utopolo hawana uvumilivu. Wao ni matokeo mazuri tu.
  2. M

    WhatsApp haifanyi kazi???

    Hata hii jamii forums watapita nayo halafu watazima mtandao. Hofu wameitengeneza wao wenyewe kwa tamaa za madaraka.
  3. M

    PostGE2025 Je, Samia Suluhu yamsuta? Mtoto Angel alopigwa risasi 29 Oktoba 2025, asaidiwa na kununuliwa Nyumba Upanga!

    Fungua macho mfadhili ndio huyohuyo muuaji. Na watapigwa marufuku wasiongee na waandishi tena😰
  4. M

    PostGE2025 Kamati ya Jaji Lila anzieni kwenye Hospitali ya Kamanga na stendi ya Nyegezi. Pale ndio mauaji mengi yalifanyika

    Kuna baadhi ya maeneo wanajeshi waliokoa sana watu kwa kupambana na kikosi cha wauaji hata Mwigulu aliwahi kuropoka kwa mafumbo kuwa Kuna baadhi ya wanajeahi/askari waliuawa. Hawa waliuana wenyewe kwa wenyewe😰
  5. M

    Mamelodi kutolewa CAF, ingekua ni team ya Tanzania tena Yanga/Simba zingenzishwa propaganda za Kocha kafel au team mbovu Msimu huu.

    Halafu Kuna timu imeingia makundi kwa kumchakaza mpinzani goli 8 haina furaha😆
  6. M

    FT: Na leo kuna SINDANO? Ligi Kuu: Simba SC 6 : 1 Mashujaa FC| Uwanja wa Uhuru| 13/10/2026

    Hivi aliemleta doumbia alimwona akicheza mpira kweli😁😁
  7. M

    Tyler Perry: Kamwe sitakuja kuoa maana Ndoa ni Utapeli

    Yeye mwenyewe mwanamke anaanzaje kuoa? Kuna kesi alishinda alikuwa anamtongoza dume lenzie.
  8. M

    Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Sumai aliedai Nchimbi ni yuda alifanywa nini? Ni wazi wanaotakiwa na Bi Msumi ni wale wanaosapoti mauaji ya October 29.
  9. M

    Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Nchimbi aliitwa Yuda kumbe siku zake zinahesabiwa hata hii Kuna namna🤨
  10. M

    Dkt. Nchimbi hachunguziki CCM

    Mama yao alikuwa mnyakyusa.
Back
Top Bottom