Kwani sababu ya kuweka CV kule zoomTanzania ni nini..? Mimi ninafikiri mtu anaweka CV kule ili kujitangaza na apate ajira,ninamaanisha kuwa kama kuna mwajiri anahitaji wafanyakazi aweze kuingia zoomTanzania na kuweza kuziona zile CV then atafute mtu mwenye vigezo anavyohitaji,I stand to be...
kama lengo ni kupunguza watu si wangetumia utaratibu mzuri tu ambao hautaleta usumbufu kwa walioomba kazi,huu utaratibu wao utasumbua sana,watu wanaweza kuingia gharama ambazo hazitakuwa na msingi.
Kama wataruhusu kila mtu kufanya interview hapo sawa,hofu yangu ni pale ambapo mtu atafunga safari toka mkoani kuja halafu anafika siku hiyo anaambiwa kuwa hakukidhi vigezo,hapo itakuwa tatizo.
Mimi mwenyewe nimeona nikashangaa,haiko poa sana,na vigezo walivyoweka pale ni vile vile vya kwenye application,kuwa uwe ulikidhi vigezo vya nafasi uliyoomba,uwe uliandika barua kwa mkono pia uwe uliambatanisha passport size,kazi kweli kweli.
NHIF wametoa tangazo la kuita watu kwenye Interview, liko kwenye gazeti la Mwananchi la leo(tarehe 14,Machi 2014) ukurasa wa 34, hawajatoa majina ila wameweka vigezo vyao pale na wakaandika kama una hakika ulitimiza hivyo vigezo basi unakaribishwa kwenye interview, katika kila post wameweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.