Recent content by Malila

  1. M

    Ondoka ili ukue, uongezeke

    Ni gharama sana ila inalipa, haikuwa rahisi kuhamia Dodoma looh
  2. M

    Ondoka ili ukue, uongezeke

    Kukubali kuhama kijiwe, iwe kifikra au physically ni gharama na inahitaji ujasiri. Nachukua mfano wa baadhi ya wadau, utakuta anaishi Kibaha lakini anasali Kijitonyama. Kule Kijitonyama anakoenda kuabudu kuna kitu cha ziada anachokifuata. Kinaweza kuwa kizuri au kibaya, ila kama ni mazoea basi...
  3. M

    Iringa: Wasiojulikana waiba transfoma na kusababisha umeme kukatika

    kwa kurejea wezi wa Betri za kule wapii sijui, yawezekana.
  4. M

    Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

    Pumbavu wa head, wewe ulitaka akuzungushe wakati na yy anawinda??
  5. M

    Naomba ABC za mkoa wa Kigoma, nimepangwa ajira mpya huko

    Ukipajulia Kigoma hurudi kwenu
  6. M

    Ufugaji samaki

    location please
  7. M

    KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

    Si mara moja kuchelewa na kuwa na maelezo yasiyo na maana. Mpaka nahamia mabus mengine ujue ni zaidi ya mara moja mkuu. Mara ya kwanza tulikaa Magufuli pale bila maelezo na tukala masaa mawili safi na bado tukaenda kukaa morogoro Cat Hotels. Tumeingia njombe saa tatu usiku, ukiuliza tatizo nini...
  8. M

    KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

    Kuna route ya Njombe, kuna siku tumeondoka magufuli saa kumi na moja alfajiri na tukafika Njombe saa tatu usiku. Badala ya kulalamika nimehamia Njombe Express.Mafinga niliwahi kufika saa nne asubuhi, ukiuliza sababu wanakwambia Mshukuru Mungu umefika salama, nikahamia Bahari Beach. ABC siyo kabisa.
  9. M

    Umaskini si utani: Unaweza kufa ukiwa hai kwa sababu ya umaskini!

    Kuna umaskini unaotokana na mazingira ulimozaliwa (mfano, mtoto anayeambiwa riziki analeta Mola na mtoto anayeambiwa asiyefanya kazi asile), huu unaweza kwisha ukihamia dunia nyingine, kuna umaskini wa kihalaiki (wote kukubali kwamba haiwezekani kutoboa, eti sababu fulani alishindwa). Kuna...
Back
Top Bottom