Recent content by Malaria Sugu

  1. M

    CHADEMA Jifunzeni kwa waislam kutafuta maridhiano- wausome mkataba wa Hudaybiyyah

    Kubiti anayajua vizuri Azwari Gandi
  2. M

    CHADEMA Jifunzeni kwa waislam kutafuta maridhiano- wausome mkataba wa Hudaybiyyah

    MKATABA WA HUDAYBIYYAH Mkataba huu ni moja ya matukio makubwa katika historia ya Uislamu kwa sababu ulionyesha kuwa wakati mwingine Waislamu wanaweza kuvumilia masharti yanayoonekana kuwa magumu kwa muda mfupi ili kupata ushindi mkubwa baadaye. 1. Kwa nini mkataba ulikuwa mgumu kwa Waislamu...
  3. M

    Meli ya mafuta ya Iran "line-breaker' imeanza safari kupita kizuizi cha jeshi la marekani

    Hongera Iran, hii dunia ni ya kila binaadam na sio ya watu wachache. Tupo nyuma yako Iran kwa dua usiku na mchana
  4. M

    Msajili wa vyama vya siasa tafdhali ifute CHADEMA kwa maslahi ya Taifa

    Maslahi ya taifa gani hilo? Kama tz hapana. Kama taifa jengine Ok
  5. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Hivi sass dunia inaendeshwa kwa mfumo kristo ndio maana yanatokea hayo, endapo dunia inaendeshwa kwa shariah. Upuuzi huo utatoweka duniani
  6. M

  7. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Tz idadi kubwa ni ipi? Umaskini uko vipi?
  8. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Sauti inayosema. "INGIA KTK UISLAM ILI UONGOKE"
  9. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Kwanza kuwabidilisha wakiristo wawe waislam kwa kuwaelimisha nuru na kuondoka ktk giza
  10. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Mpiga propaganda nyingi kuhusu uislam. Lkn dada zenu, ndugu zenu ndio kwanza wanasilimu kwa wingi
  11. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Wakiristo wanauana wenyewe kwa wenyewe. Rwanda, urusi na Ukrain,Vietnam, bomu la Atomic,Hitler
  12. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Wakiristo wanauana wenyewe kwa wenyewe. Rwanda, urusi na Ukrain,Vietnam, bomu la Atomic,Hitler
  13. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Watafiti wanabashiri ifikapo mwaka 2035,Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo. Utafiti huo uliofanywa na kituo cha utafiti cha Marekani cha Pew kinaonesha kuwa idadi ya Wakristo bado inakua lakini idadi jumla ya Waislamu inakua kwa kasi zaidi kutokana na kasi ya kuzaana...
  14. M

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Post zako nimegundua nyingi ni propaganda kuwatoa watu katika reli hasa chadema na wanaharakati
Back
Top Bottom