Recent content by malaki123

  1. malaki123

    Jirani anamshawishi mke wangu aniache, akimuahidi atamuoa na kumtunza

    Zalau mim sipendagi apo naua mtu. Sio kwasababu ya mqanamke ila zalau sipendi
  2. malaki123

    RESOLVED Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Wilaya ya Momba – Tunduma tumeanza kulipwa stahiki zetu

    Mbeya vijijin ndo hawalipwi kabisa hizo posho. Yaaan bola hao walichereweshwa
  3. malaki123

    Prof. Athman Mujahid: Nyakati 5 Ambazo Hupaswi Kumrekebisha Mtoto

    Ogopeni wanawake wanowasemelea watoto wakikosea kwa baba ndio amuadhibu .baadae akilirudi.ndo yake mtoto Kila Kona nan kama mama
  4. malaki123

    Mhadhiri wa UDSM Dkt Ibrahimu Nzima: Kidato cha 6 wanaojiunga vyuo uwezo wao wa kuchambua mambo umeshuka

    Mwambie huyo maana comment yake inasikitisha kuwa kaerewa kwanin kasema ivyo,umuhimu wa mwanafunzi kutoka na knowledge izo kwenye level ya advance na secondary.ko anataka mhadhili afundishe lugha ya kitaaluma ya mawasiliano?,mhadhili aanze kuwajenga wanafunzi uezo wa kunyumbua mambo?.. kitu...
  5. malaki123

    Mavazi yanahusikaje na utendaji kazi wa mtu?

    Mavazi ni utambulisho Tosha wa personality yako. Huyu mutoa post ndo wale husemaga mungu anaangalia moyo haangalii mavazi wakati huo anataka avae ovyo kanisani a msikitin
  6. malaki123

    Mavazi yanahusikaje na utendaji kazi wa mtu?

    Akili za gz hizo munataka hata maofisini muvae kma akina mondi wapi kwenye show.mfano kwenye ualimu unataka tuvae yeyote?.
  7. malaki123

    AFCON 2027: Taharuki za Kisiasa na Kijamii zinazojitokeza Tanzania zinaweza kuathirije fursa ya kuwa mwenyeji?

    Natamn lolote litokee afcon iswepo kama haluitakuwa hiv mutu unapromote kulinda amani wakati hakuna haki
Back
Top Bottom