Recent content by Malaika Malkia

  1. M

    Airtel inabidi mjitafakari. Kwanini mnawabebesha mawakala uzembe wa wateja?

    Kwanza SIM SWAP ni nini?? Ndio kurenew line au?? Kama ndivyo ilikuwaje baada ya hiyo SIM SWAP line ya huyo Dada bado ikawa hewani?? Tuanzie kwanza hapo
  2. M

    KUna fremu ipo Kariakoo kwa Tsh. Milioni 22 kwa Mwaka

    Million 22 mpaka April mwakani So divide Kwa mwezi utalipa sh. ngapi hapo
  3. M

    Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

    Sasa hilo sio jipu ndugu Na kila methali Una kinyume chake
  4. M

    Afghanistan: Serikali ya Taliban yapiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni

    Basi sawa... Haina haja ya kubwa na runinga. Redio inatosha
  5. M

    Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀

    Una hasira... Si umwambie unapenda tashtiti.. na wewe ukionesha Kwa mfano+mazingira yaruhusu
  6. M

    Naona mwamba ashaanza kuwaza yafuatayo mapema 😂

    Hiyo style ya Suti... Naona fashion ya zamani imerudi
  7. M

    Hivi Ndivyo Rais Samia Alivyopamba na Kutawala Magazeti Yote ya Leo

    Kwa bustani hiyo ya angani ya kufikirika ndio vivyo hivyo na furaha ya watanzania ni ya kufikirika
Back
Top Bottom