Recent content by Makumbele

  1. M

    Nini kipo Nyuma ya Pazia Kati ya Tanzania na Afghanistan? Ni MADINI tu? Tutarajie nini Kidiplomasia na Kiuchumi?

    Hatua ya Tanzania kufanya mazungumzo ya kibiashara na uwekezaji katika sekta ya madini na uongozi wa Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imeibua mjadala mpana wa kidiplomasia, ikionyesha mwelekeo mpya wa serikali kutafuta masoko nje ya mifumo ya kawaida, lakini pia ikiweka nchi kwenye mizani...
  2. M

    Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022 (GN. No. 444): Haki za raia, uwajibikaji wa Serikali, Ajira, na Uhuru wa Habari/Mawasiliano

    Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022 (GN. No. 444) zimejaa vipengele vingi vinavyogusa moja kwa moja haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali, ajira, na uhuru wa habari/mawasiliano. 1. Haki ya Mwananchi Kupata Huduma Bora na Kufichua Ukiukwaji wa Maadili Wananchi wengi hawajui kuwa Kanuni...
  3. M

    Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

    More info coming: https://www.instagram.com/p/De6uVtku9zI/
  4. M

    HOJA Intelijensia ya Polisi inafanya kazi wakati gani? Kwanini magari kama haya yanatembea Dar bila Sheria kuzingatiwa?

    Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O. Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna aliye juu ya sheria”?
  5. M

    Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    Mahakama ya Rufani ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria unaoweka msingi imara wa ulinzi wa taasisi huru za kikatiba nchini, ikisisitiza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ana ulinzi kamili wa ajira yake na hawezi kuondolewa madarakani kwa kutumia sheria za kawaida za...
  6. M

    Sativa ashinda rufaa dhidi ya DPP, amri ya kumkamata na kumrejesha nchini (Extradition) yabutuliwa na Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam (mbele ya Mheshimiwa Jaji D.D. Ndumbaro), imetoa hukumu tarehe 29 Septemba 2026 katika Rufaa ya Jinai Namba 000029293 ya mwaka 2025. Sativa alikata rufaa kupinga uamuzi, mwenendo, na amri za Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu zilizotolewa tarehe 28...
  7. M

    DRC yathibitisha Tanzania kumkamata Mwanaharakati Denise Dusauchoy na kutoa shukrani

    Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa taarifa rasmi ikithibitisha kukamatwa kwa Denise Dusauchoy nchini Tanzania tarehe 30 Agosti 2026 kupitia ushirikiano wa kisheria wa kimataifa. Muhtasari wa Taarifa Rasmi ya Wizara: Eneo na Tarehe: Mtuhumiwa alikamatwa tarehe...
  8. M

    Agosti 30: Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Watu Walipotea kwa Nguvu (Enforced Disappearances)

    Leo, tarehe 30 Agosti, dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Watu Walipotea kwa Nguvu (International Day of Victims of Enforced Disappearances). Kwa mujibu wa taarifa kutoka Umoja wa Mataifa (UN), mwaka huu wa 2026 unatimiza miaka 20 tangu kupitishwa kwa Mkataba wa Kimataifa wa...
  9. M

    Kesi ya Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (Case No. 26 CIV 06555) - undani wake

    Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka msingi mpya wa kisheria katika utetezi wa haki za kidigitali. Shauri hili halilengi kudai fidia ya...
  10. M

    Ni kweli umu JF kuna wateja wakutoa 100m+,500m+,1b+,5b+ kununua magari na majumba?

    Tupo, hata ikiwa 750M+ mradi iwe inakidhi vigezo. Shida ni kuwa vitu vingine vinakuwa elevated rates kiasi inabidi uwe makini sana na hivyo kulazimika kuhoji sana
  11. M

    Project? Wakati MwanaHALISI likifungiwa, gazeti la Mchange laendelea kumsakama ‘Yuda’. Haligusiki

    Gazeti hili la Jamvi La Habari, linalomilikiwa na Habibu Mchange haligusiki. Limekuwa likichapisha mambo ya ovyo, na hakuna anayeligusa. Hili gazeti kwa Awamu ya 6 nalifananisha na ‘Tanzanite’ la Awamu ya 5. Watu wa Mfumo wamekosa ubunifu kiasi hiki? Hii ndo thinktank yao? UONGO: Malecela...
  12. M

    Machozi, Matunzo na Sheria: Unachopaswa Kujua Kabla ya Kudai Fidia kwa Kulea Mtoto "Usiyemzaa" (almaarufu wa kusingiziwa)

    Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka mingi, kumbe si wake kibaolojia. Katika nyakati hizo ngumu zenye mchanganyiko wa hasira na maumivu...
  13. M

    Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  14. M

    Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

    Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha...
  15. M

    Mahakama ya Rufaa yatengua Hukumu ya Eliakim Maswi Dhidi ya Mwita Waitara na Mara TV

    Kama mnavyofahamu, kumekuwa na mvutano mkubwa wa kisheria kati ya Bw. Eliakim Chacha Maswi na Mbunge Mwita Waitara, ukihusisha fidia ya mabilioni ya shilingi. Leo nimepitia hukumu mpya ya Mahakama ya Rufaa kupitia hukumu iliyotolewa leo tarehe 29 Julai 2026, na nimeona ni vyema niwaletee...
Back
Top Bottom