Iko hivi, kawaida, tanki langu linapobakiza kuanzia lita 8 kushuka chini, alarm huanza kuflash. Kwa safari niliyokuwa nayo siku hiyo, ilipoanza kuflash nilijua mafuta hayapo zaidi ya lita 8, ndipo niliamua niongeze lita kama 4 kwa sh 20,000.00. Hizo ziliongeza lita kutoka 8 hadi kwenye 12...