Serikali ya mh. Magufuli inaweza kuongeza umaarufu wake au ikaanza kuyumba kutokana na maamuzi ya katiba mpya. Busara inahitajika kabla ya kufanya maamuzi
Mimi mwanzoni nilifikiri Mkapa ametukana lakini ninavyosikia tafakari za watanzania nimefikia uamuzi kwamba kweli watanzania hawafundishiki kwa nadharia wala vitendo kwa maana hiyo kuna kaukweli kwamba wengi wetu ni Wapumbavu na malofa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.