Recent content by Maisha na afya

  1. M

    Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Sawa ahsante kaka . Mungu azidi kukufungulia Milango ya baraka ubarikiwe Sana🙏🙏
  2. M

    Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Ahsante mkuu control no ni. SAS01110261963 CRDB
  3. M

    Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    GemMaster II samahani kiongozi naomba niongee na wewe DM kama hautojali
  4. M

    Kati ya kumuoa au kuolewa na mtu asiyefaa au kuingia katika familia isiyofaa... ni kipi kibaya zaidi?

    Kaka Mshana Jr nakuomba tuongee DM kama utaridhia 🙏🙏
  5. M

    Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Sawa kiongozi shukhrani🙏🙏🙏
  6. M

    Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Kiongozi nipe michongo ya Dodoma kama IPO nitafute ada
  7. M

    Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Kwa Dodoma mbona sioni Seran
  8. M

    Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Au kama kuna mtu anaeweza kunipa connection nikapata sponsor wa kunisponsor Mda wa masomo ulobakia itakuwa vizuri zaidi make adi saivi sjapata solution
  9. M

    Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Ahsante kaka. Vipi kwa Dodoma biashara gani ndogo ambayo inaenda au inaweza kunipa chochote endapo nitapospon na kuchukua boom zote mbili
  10. M

    Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Nimekuelewa mkuu lakini changamoto niliyonayo ndo inanifanya nisiendelee na shule siyo mm ndo naamua . Hadi hapa nipo wodini naendelea na field lakini je nitaendelea iviivi bilq kupata basic needs,na chuo kinakaribia kufunguliwa Ada na hela ya kujikimu bado still problem .japo nipe mbinu niweze...
  11. M

    Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Amina kiongozi ubarikkwe Sana kwa kutoa mda wako kuja kunisikiliza
  12. M

    Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Ahsante Kwa maoni yako nitayafanyia Kazi na nitaangalia nzuri zaidi . Nipo nasikiliza.karibu sana
Back
Top Bottom