Recent content by Maikoel

  1. M

    Kijana, acha kupoteza pesa yako kusuluhisha matatizo ya kifedha ya kila mwanamke

    Ikiwa na wao wanasuluhisha matatizo yako ya kimwili hamna mbaya, ni win-win situation
  2. M

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Nae ajiandae kwani hizo goli 20 zitarudishwa mwilini mwake kwa mikwaju isiyo ya penati
  3. M

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Zamani kidogo Kuna fundi alitrend sana, alikuwa anaitwa fundi maiko
  4. M

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Twenty in one
  5. M

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Chagua kati ya GUSA ACHIA au BOLo LITEMBEE
  6. M

    Sirudii kwenda nisipohitajika

    Tafuta hela
  7. M

    Klabu ya Young Africans imemutambulisha Fadlu Davids Kama kocha mkuu

    Hatamaliza msimu huu wa ligi ya NBC, atafukuzwa
  8. M

    Nahitaji mbegu hizi zinazoota porini

    Unazitumia kwa kazi gani? Anyway, zipo nyingi sana maeneo ya kwetu hata ukitaka gunia zima naweza kuwatumia vijana wakalijaza ndani wiki moja tu
  9. M

    Kulingana na experience yangu hizi ndio kabila na shughuli zake maarufu wanazo jihusha nazo Dar unaweza kutaja nyenginezo

    Eti na wahaya ni ma house girls &boy Sasa kazi za maofisini na za ki professional zinafanywa na nani?
  10. M

    IDU imelaani hukumu dhidi ya Tundu Lissu, na kusisitiza achiriwe huru mara moja

    Mimi sipendi hawa wanaosema na kuishia maneno matupu kama walivyofanya bunge la ulaya, Marekani na wanaharakati wengine wengi. Dawa pekee ya hawa wakoloni wa Tanzania ni KUWAPIGA
  11. M

    BREAKING: Tundu Antipas Lissu afungwa miaka 4 kwa kosa dogo la Uchochezi

    Yaani siamini kabisa kama lissu anaweza akawa mfungwa. Watu wana dhambi sana
Back
Top Bottom