Recent content by MAHUNDO

  1. M

    Watangazaji wa Clouds punguzeni kujiona mmefanikiwa sana, ninyi ni mafacilitator hamuwezi kuwa mnajua kila kitu

    Kwakweli hiyo Redio inaboa sana tatizo wale vijana wanaona wanajua kila kitu,sijui wamesomea wapi uandishi wa habari?wana utoto mwingi kwakweli Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Mataifa 4 ya kiarabu yaipa Qatar masharti 13 kuafikia la sivyo itengwe

    Quatar ametoa offer ya kununua aslimia 10 ya hisa za American Airways kwahiyo inaonyesha bado yuko vizuri ki uchumi
  3. M

    Habari zilizonifikia muda huu zinasema kwamba.....

    Lisemwalo lipo kama halipo linakuja,muda si mrefu ukweli utajulikana
  4. M

    Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

    Ni Kamishina Jenerali wa Magereza Juma Malewa
  5. M

    Tanzia: Mwanamasumbwi maarufu, Muhammad Ali afariki dunia akiwa na miaka 74

    Huyu nakumbuka alikua kocha wa ngumi anaitwa Badru
  6. M

    Upinzani umefeli Bungeni; mbona Mrema aliiwajibisha Serikali bila kuwa "Live"?

    Huo utaratibu ni kwa upinzani tu,Sijaona serikali isiyotaka kukosolewa kama hiii,lazima mjue hakuna mwanaadam mtimilifu,lakini ninyi mnataka msifiwe tu,msipokosolewa mtajirekebisha lini?
  7. M

    Upinzani umefeli Bungeni; mbona Mrema aliiwajibisha Serikali bila kuwa "Live"?

    Kwanza mtoa mada hujui unalolisema umejawa na ushabiki ambao unaonyesha kua ni mbumbu aliyesababisha mawaziri kujiuzulu alikua mzee Mzindakaya mara nyingi najiuliza hivi kwanini mnatoa mada za uongo ni maana watu makini wanashindwa kuchangia mnaidhalilisha hii forum punguzeni ushabiki au kutumiwa
  8. M

    Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

    Una hakika na unchokiongea,aliyeongoza hilo vuguvugu ni nani?hao watu wa Tanga ni kina nani tuache ushabiki
  9. M

    Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

    Tuache ushabiki Mzee Mwinyi aliipokea nchi ikiwa na hali mbaya sana kiuchumi,tulikua hatuna fedha ya kuagiza mafuta na malighafi yeyote kutoka nje,Mwinyi aliongea na wa Iran tupate mafuta nakumbuka hata Mzee Mugabe alitusaidia fedha za kigeni wakati huu uchumi wa Zimbabwe ulikua juu,bila y...
  10. M

    Haina ubishi mkoa wa Tanga umekamilika kuliko mikoa yote Tanzania

    Wanaosema tatizo la wakazi wa mkoa wa Tanga ni kuelimika wanazungumza wasichokijua Mkoa wa Tanga ni Moja ya mikoa michache iliyopata elimu kabla ya Uhuru tulikua na shule pale Magila Muheza,iliyota wasomi wengi kupindukia,hata moja ya walimu wa mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Nyerere alitokea...
  11. M

    Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

    Ni kweli Namkumbuka Afande Joackim aliisafisha Moshi hakua akisubiri tukio litokea akipata taarifa kua wewe nijambazi atakukabili na kukupa onyo halafu anakufuatilia,ukiendelea anakuwahi mapema nakumbuka issue ya Kadogoo Moshi miaka 1984/1985 watu walikua wanalala saa 2 lakini jamaa alimfuata...
  12. M

    Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

    Hata mimi nimesikia breaking news inasemekana wameua watu 4,na wameondoka na kiasi kikubwa cha fedha kwenye Viroba
  13. M

    Taarifa ya Bakhresa Group kuhusiana na Upotevu wa Makontena

    Alipokua anahojiwa na Waziri Mkuu,Kamishina wa TRA aliyesimamishwa,alisema mmiliki wa ICD amepigwa faini ya bilioni 12.5,na amekwiahalipa bolioni 2.5 kwa kosa la makontena hayo kutolewa bila la ushuru kutoka kwenye ICD yake,kwa hiyo hatua zilishachukuliwa na alikiri makosa ndio sababu akaanza...
Back
Top Bottom