Recent content by Maharo

  1. M

    Je, Mitsubishi RVR inafaa kwa matumizi ya mwananchi wa kawaida?

    Habari wanajamvi Naomba kujuzwa kuhusu gari ya Mitsubishi RVR je inafaa kwa mwananchi wa kawaida kwa maana ya kuimudu, uimara mafundi wapo? Bei ya vifaa vyake na kadhalika. Nasoma commenti
  2. M

    Wenon battery je ni bora na imara ?

    Waligonga yes lakini nishairudisha na kabadilisha asante
  3. M

    Je, Mitsubishi RVR inafaa kwa matumizi ya mwananchi wa kawaida?

    Habari wanajamvi Naomba kujuzwa kuhusu gari ya Mitsubishi RVR je inafaa kwa mwananchi wa kawaida kwa maana ya kuimudu, uimara mafundi wapo? Bei ya vifaa vyake na kadhalika. Nasoma commenti
  4. M

    Plug za Volkswagen(VW)

    Wanajamvi Nina shida na plug genuine za gari ya Volkswagen(VW)maana nahangaika sana kuna wakati nimeweka plug mpya na hazikufanya kazi kabisa nikaweka nyingine mwezi wa tano kufika mwezi wa tisa zimeharibika Msaada na ushauri
  5. M

    Wenon battery je ni bora na imara ?

    Wanajamvi Naomba ushauri juu ya battery hizi nimeweka kwenye gari yangu nashangaa inatoa maji maji hapo kwenye terminals sijajua shida ni nini
  6. M

    Wazo la Biashara ya kuingiza pesa chapchap

    Wanajamvi Salaams Naomba wazo zuri la biashara ndogo ndogo ambalo lina faida ya chapchap kwa kuanzia nina mtajo wa 2M Nasoma comment Asanteni
  7. M

    Dawa ya Tezi dume

    Msaada kwenye tuta wanajamvi Anaefahamu dawa ya uhakika ya kutibu Tezi dume kwa wazee anijulishe tafadhali Whether iwe best hospital au miti shamba ushauri wowote mzuri napokea Asanteni kwa ushirikiano
  8. M

    Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

    Ni mkatoliki hakuna cha Anglican wala nini straight ni Mkatoliki safi
  9. M

    Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

    Ilikuwa ni lazima Bila shaka walobisha walijua atatoka kwa kina Malasusa hahahhahahah
  10. M

    Yuko wapi Fr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc. Phd Katibu Mkuu wa TEC?

    Aliekutuma mwambie asijaribu kutingisha meza yenye pombe za bei ghali
Back
Top Bottom