Recent content by Magoo

  1. M

    Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

    Nafikiri aliyetoa tuhuma inabidi atoe na ushahidi wa mihamala ili ukweli uwe bayana
  2. M

    AZAM FC Msimu 2026-2027 tunawadai ubingwa sajili zenu zinaakisi hivyo

    wamesajili wachezaji gani na profile zao ziko vipi africa?
  3. M

    CAG: Serikali imefanikiwa kutekeleza madhaifu ya mwaka uliopita kwa asilimia 74%

    kama ulisikiliza mahojiano yale usingeandika uliyoandika.. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

    kwa nn ikose vibali vya kufanya safari itakako Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Mke wangu ananipa wakati mgumu mpaka natamani niwe nae mbali.

    Ulioa ili ufuliwe, upikiwe, ufanyiwe usafi wa nyumba?Bado hujakomaa kifikra na hujui kwa nn upo ndani ya ndoa. Nikwambie tu kitu huyo mke wako ana akili sana kukushinda. Bado unafikiria marafiki zako zaidi ya familia unayoijenga kwa ufupi unaweza kuwa under 25 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Unapochagua Mwenza wako, ijue Sheria hii ya Mahusiano. Utakuja kunishukuru!

    Hii ina mchango gani katika ustawi wa ndoa na ni kivipi. Binafsi muhimu mapenzi yawepo na mwansume awe amejiandaa ama ana uelekeo wa kimaisha uimudu familia katika all neccessities. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Samatta aitaka TFF kutomsahau Kapombe katika zawadi za Stars

    Twitter ni official platform ya mawasiliano kwa watu wengi. Ujumbe ulio open.una impact kubwa na nafasi kubwa ya kufanyiwa kazi zaidi ya njia nyingine zote uzijuazo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Samatta aitaka TFF kutomsahau Kapombe katika zawadi za Stars

    Mentality yako inaonyesha hujui principle za mzunguko wa pesa hizo billions za Mengi unafikiri zinatoka wapi? NI muunganiko wa makusanyo wa pesa ndogo ndogo kama hizi..Acha dharau kwenye pesa utakufa maskini. HAKUNA TAJIRI ALIYERIDHIKA NA PESA maskini ndiyo wepesi wa kuridhika Sent using...
  9. M

    Samatta aitaka TFF kutomsahau Kapombe katika zawadi za Stars

    hizo dola ni jasho lake na m10 pia ni haki yake. Ninyi ndo mkiona mtu kahustle kupata njia ya pesa mnafikiria yeye hana matumizi nayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Vigogo wawili ATCL wasimamishwa kazi kwa kosa la kumchagua rubani asiye na sifa kusoma Canada

    Umesema vyema ila hata yeye hajakosea ina maana hawawezi rusha hizo ndege kwa ufasaha ndo maana wanatakiwa wapewe maujuzi zaidi otherwise kusingekuwa na maana
  11. M

    Vigogo wawili ATCL wasimamishwa kazi kwa kosa la kumchagua rubani asiye na sifa kusoma Canada

    daaah wabongo bana kila kitu wanajua wao..... hujui ili ni zoezi linaenda kwa awamu si lazima kupinga kila jambo ulitaka approach ipi itumike
  12. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari zenu wana jamvi Nina gari toyota Cami na imekuwa na matatizo yafuatayo.... meno ya rejetor yalipasuka baadhi wakati wa kusafishwa ikawa inatoa maji kidogo sana na kufanya gari kuchemka ila nikawa naongeza maji kwa muda wa 2 weeks hivi nikabadili rejetor ikawa haichemki tena. Baada ya...
  13. M

    Ubora wa ligi: Ni La Liga tu ambao hawajampata bingwa wakisubiri mechi ya mwisho

    Ukizoea VITZ huwezi jua raha ya Hummer. EPL ina timu zenye uwezo usiotofautiana sana ila viwango vya chini. La Liga ina team nyingi bora sana na hii uifanya ligi yao kuwa na mpira wa kuburudisha zaidi na kuvutia hivyo kuifanya kuwa bora. Zichukue real madrid/ Barcelona/ Atletico zipeleke EPL...
  14. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi niko wilaya ya Rufiji bungu Nahitaji kuhamia dar
Back
Top Bottom