Nikuulize swali: hivi mtu akisema "wewe mwizi" unakuwa mwizi? Papa alivyokuwa hai, hatukuwahi kusikia akisema "nimeona shetani". Leo kwenye ulimwengu wa disinformation, misinformation na deepfakes, tukisikua tu habari fulani kuhusu papa, hata bila ya kuthibitisha, tunatoa hitimisho. Kweli elimu...