Mita mada hivi una tambua hizo taasisi zote zina fanya kazi manual .
Tanesco una fikilia ni jinsi gani wana weza kufanya kazi zao za kifundi remote wakati kazi zao zote manual.
Polisi wana fanyaje kazi zao Automatic toka huko mbali.
Mimi binafsi kwa aina ya kazi zao wana stahili kuendelea...
Fanya haya na matokeo uta ya pata.
1.Acha vyakula vya wanga mwepesi bali tumia wanga mgumu zilizo chemshwa Mihogo,Magimbi ndizi ( mbichi ),viazi sio vya chips.
2.Achana na vyakula vyote vinavyo tokana na ngano yani chapati,Maandazi,visheti nk
3.Achana na vitu vya Sukari kabisa kama chai,Soda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.