Recent content by maggy mushy

  1. M

    UPDP: Uzinduzi wa kampeni katika picha

    dah ila jamaa kiboko
  2. M

    Dotnata afanya kufuru kwa kvuta "Hummer" la nguvu

    Iwe used iwe mpya haihusu mlioponda mmesahau km huyu ni mama wa decoration na catering services km atakupambia kumbi na chakula akaleta kuna ubaya gani kukukodishia usafiri?me nampa big up sana anapanua biashara yake khs kujenga shule sijui hospital pesa ni yake ndo muamuz aifanyie biashara gani...
  3. M

    kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

    i wish ungeniona sijui nikutumie picha me mchaga original sio wale wanaokuja na mama zao na nina mguu wa ukwee na sio mimi tu hata ndugu zangu wana usafiri wa ukweeeli kwahyo ndg yangu what im trying to say NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
  4. M

    Watoto Wa Obama na Mama yao......

    wanapendeza at least
  5. M

    Tukubali!Kuna watu wameumbwa na kuumbika...!!!

    wa kawaida sana hanipati hata kwa mbio
  6. M

    Confirmed:> New love birds - Diamond and wWema Septu

    namhurumia dogo almas toka pa shoka hapaingii kisu na soon ataanza kushuka kimuziki huyu wema nae kama katiwa ndimu!
  7. M

    Hii katuni imenivutia mno.

    huyu mtoto wa mkulima ni mnafki sijawahi ona anajipendekeza kwa wananchi hana lolote magufuli was right
  8. M

    Keki ya tani moja Bongo

    sasa wadau hiyo dini niya wanaume tu au hao wanaume wote ni mabachela?
  9. M

    Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

    nakushauri lulu uwaone madaktari wa ngozi ukitibiwa utapona tu usipuuzie huo ni ugonjwa
  10. M

    Ipe picha maneno -- Mwanamitindo Fideline Iranga

    anaweza akakuburuza kortini jina lake sio fidelis ni FIDELINE
  11. M

    Black and white contrast

    nshajua taaluma yako wewe ni mwalimu wa chekechea big up sana
  12. M

    Mr. Nice amefulia yu hoi Taabani

    lakini ana ECZMA au lack of scrub??????
  13. M

    Ya kumaliza mwaka!!!

    suala la hips za mai anajua mungu mana ye mwenyewe anauza product za kichina shurti zile bora atumie yeye ili akikuuzia uridhike
  14. M

    Uzinduzi wa album 'Sifai" ya TID Bills

    lakini wana jf wenzangu frank mtao mbona km kalala?au hataki kuona ay akimpa mkono hicho kipusa?
Back
Top Bottom