Hili ndilo tatizo kubwa la watz. Mie nilitegemea tungempongeza huyu financial engineer. Chuki na wivu ndo talk of every day kwa wabongo. Ndo ile unalala chini kwa 7bu tu huna hela ya kununua kitanda then unasema kitanda kitu gani mpango mzima ni kulala chini!kuumbe unatamani siku moja upate pesa...
ndg wataalam. ndg yangu ana mpango wa kufungua huduma ya internet mwezi huu. mwenye utaalam wa kompyuta za internet na kuunganisha service atupie hapa namba yake tuongee..yangu ni 0767 940 494
Acheni majungu! Hivi unaweza kupata 0 halafu ukafanya kazi BoT?Kwa taarifa yenu, mwasisi wa mageuzi nchini ana degree ya political science toka uholanzi! Nyambaf kabisa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.