Recent content by magafumukama

  1. M

    Hivi CHADEMA haina wazee wa Dar es Salaam?

    Wewe unawataka wa nini?
  2. M

    USHAURI: Rais Magufuli vunja ATCL. Anzisha Tanzania Airways ama Kilimanjaro Airways

    What is in a name? Cha muhimu ni uadilifu na kuwazuia akina nyoka mwenye makengeza kuwaa ndikia mikataba basi
  3. M

    Ni tuhuma tu Lowassa kumbe si Fisadi!!

    Unajua huo ndio ushaidi wa kiwango cha unafiki kilivyokuwa kikubwa kwa hao wajomba zetu. Kama kweli huyo mzee ni fisadi kwa nini asifikishwe kortini lama kina kitilya masamaki nk?
  4. M

    Uteuzi wa Rc Gambo CdM waitana Arusha kwa dharura

    Nonsense watu wasikuyane kisa mtu fulani kawa fulani ?
  5. M

    Neno la Kuudhi: Bado Tungemkataa Lowassa na Mabadiliko Yake!

    Mko wangapi wenye msimamo huo? Sijui kama ninatambua kuwa hata mwenyezi Mungu angefanya muujiza wake a kamleta malaika hao unao watetea wangemrubuni?
  6. M

    Tanzania: Adui yetu ni nani na tuna fursa gani za kumshinda? Tunamlenga au tunamkwepa?

    Niliwahi kusema hapa kwamba hata mwenyezi Mungu angefanya miujiza wake a kamleta malaika akapewa uongozi kupitia kwa hao wajomba moja Kati ya mambo Mawili litaokea. Ama wanarubuni awe fisadi na anakataa watamnyang'anya silaa
  7. M

    Dkt. Kimei(CRDB): Hali ya uchumi nchini ni tete

    Yaani Dr Kimei ndo chochezi au nani? Sijawaelewa. Yaani mtu kuzungumza ukweli ni chochezi? Kweli jamani? Tuache masihara
  8. M

    Mwigulu: Ole wao CHADEMA, Tutaubomoa UKUTA

    Ha ha ha huoni huo ushahidi umempandisha cheo? Kwani mbinguni ni lazima kuwe kule anakokaa jehova tu? Yuko na yule mungu wa 666 nako kwake mbinguni
  9. M

    Mbowe, nitagombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

    Mmeanza. Mbona nyie mnakabidhiana vijiti? Kuna kura pale?
  10. M

    Wanaofikiria uchaguzi mwingine Zanzibar wanapoteza muda

    Of course sisi hatutegemei . Lakini siku na wakati wa Bwana ukifika utafanyika wa haki
  11. M

    Nchi tajiri sana, tunabana matumizi ili iweje? Kwa Msingi upi?

    Unakumbuka Ghadafi as Libya? Huyo ndiye alikuwa akiutumia vizuri tajiri wa nchi yake kwa raia wake. Lakini sisi mmmhhhh
  12. M

    Dr. Tulia Ackson: Situmii madaraka yangu vibaya, atoa ya Moyoni

    Ni nani anayeweza kumwamini? Labda mamlaka ya uteuzi
Back
Top Bottom