Nimesoma kwenye mtandao wanasema ni hali inasababishwa na jua kuwa karibu na mawingu yaliyoganda na kuwa barafu ambayo inareflect na kutoa huo mwanga kulizunguka jua. Hiyo hali inaitwa "Halo around the Sun" uki-google utapata maelezo zaidi
Huyu mama alikosea sana hii ilitakiwa kuwa changamoto kwake. Me sijaona cha kumshangaza hasa ukizingatia siasa ya Tanzania ni ya mfumo wa vyama vingi... Ndio akae ajipange namna ya kuwashawishi hao wanawake ili wampigie kura Mumewe. Ila kwa sasa nampa pole sana maana hili limethibitisha kuwa...
Pole sana B'Real... Ila kama kweli unampenda mtoto hawezi kuzuia mapenzi yenu yaendelee ila kama Uliapa huwezi kuoa mwanamke mwenye mtot inabidi upunguze papara wapo wengi tu ambao hawana watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.